Category: Makala
Wanaume washirikishwe uzazi wa mpango
Tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, utoaji wa mimba zisizopangwa na uzazi usiofuata kanuni za uzazi wa mpango umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Matumizi hayo ya njia za uzazi wa mpango yameleta…
Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (1)
Waza au fikiri kwa kutumia picha kubwa. Ukiwaza kwa kutumia picha kubwa ni sawa na kuitabiri kesho. Kuiona kesho wakati bado unaishi leo. Watu waliofanikiwa wanajiona baada ya miaka mitano au kumi watakuwa wapi. Je, wewe umewahi kujiuliza tarehe kama…
Ndugu Rais ni nani anaiona kesho yao?
Ndugu Rais, katika kurasa za mwanzo za kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu imeandikwa, ‘’Kila kaya iache kibatali chake kikiwaka. Tumelishauri jua lisitokee mpaka nchi itakaporudishwa kwa wananchi. Nenda katangaze neno hili. Usinitaje, kwaheri!’’ Kila tusomapo maandiko haya hutulia na…
MAISHA NI MTIHANI (1)
Maisha ndio mtihani mgumu sana, kuushinda mtihani huu ni kufanya maisha yavutie. Ukipata kazi mtihani, usipokuwa na kazi mtihani. Ukiwa na pesa mtihani, usipokuwa na pesa mtihani. Kama umesoma sana mtihani, kama haujasoma mtihani. Inasemwa kuwa: “Ukiona elimu ni gharama…
Falsafa na uhai wa taifa, miaka 19 baada ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere (2)
Tujifunze kutoka nchini Uingereza. Nchini Uingereza wananchi wanahimizwa sana kuyasoma maandiko ya mshairi maarufu duniani, William Shakespeare. Waingereza wanafanya hivyo ili kulinda na kudumisha mchango wa mawazo uliotolewa na mshairi huyo katika taifa lake. Wanafanya hivyo pia ili kukirithisha kizazi…
Yah: Busara ni kipawa kwa kijana lakini hutokea kwa nadra
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kuniweka hai hadi leo. Kwangu mimi ni faida kubwa sana kuongeza kila siku moja katika maisha yangu. Nayaona mengi na bado mapya kabisa katika maisha yangu, kiufupi kila uchao unakuchwa na jambo jipya…