JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Sioni faida za kuwakamata

Wale wanaofanya rejea ya hali ya kisiasa nchini mwetu watakumbuka Augustino Mrema alivyokuwa na nguvu kubwa kisiasa mwaka 1995. Wapo ambao wanaamini hadi leo kuwa kama si mbinu na ushawishi wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, historia ya…

Je, katiba inanyumbulika? -(2)

Naam, hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mjadala kuhusu kauli ya Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya pili nchini, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyoitamka katika salamu za Idd el Fitr, Jumatatu, Juni 26, 2017 Jijijni Dar…

Yah: Wenye nia ya biashara nawafanye biashara

Kuna wakati nafikiria kama hii Tanzania niijuayo mimi inaweza ikarejea na kuwa ile ya neema ya kula asali na maziwa, ni kama mawazo potofu ambayo kimsingi yanaweza kuwa kweli, huwa naikumbuka sana Tanzania ya kima cha chini Sh 250/- ambayo…

Serikali yampatia tuzo Dk. Jane Goodall

Huwezi kuzungumzia kuhusu Hifadhi za Taifa za Gombe, pamoja na ile ya Milima ya Mahale, bila kutaja jina la Dk. Jane Goodall, ambaye ametumia miaka zaidi ya 57 katika kutafiti maisha na tabia za sokwe. Katika kutambua jitihada zake, Serikali…

Bandari yaboresha huduma

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeanza kuwa na mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Katika kudadisi hilo, Mwandishi Maalum amefanya mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit C.V. Kakoko yanayobainisha hatua baada ya nyingine juu…

Ndugu Rais simama mwenyewe baba

Ndugu Rais, wako watu wema wengi sana katika nchi hii ambao wana fikra nzito zilizo juu ya vyama vya siasa. Kwao wao ni nchi yangu kwanza! Na kama mkosi vile wako pia watu wenye fikra finyu kabisa ambao fikra zao…