JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

 Serikali ikiwa mbaya, CCM itakuwaje nzuri?

Vinara wawili, kati ya wale wanaotuhumiwa kuifanya Loliondo isitawalike, wamewatumia wanasheria wao kuniandikia barua wakitaka ‘nisiwaguse’ kwa chochote kinachoendelea Loliondo. Edward Porokwa na Maanda Ngoitiko, wanaamini kwa kuninyamazisha mimi na Gazeti la JAMHURI, ‘sifa na utukufu’ wao katika Loliondo, vitaendelea…

Haya ndiyo mambo madogo unayoweza kuyafanya na yakakuletea manufaa makubwa kwenye afya yako

Mara nyingi tumekuwa tukidharau mambo madogo madogo sana ambayo yapo ndani ya uwezo wetu kuyatekeleza ambayo kupitia hayo, tungeweza kuzinufaisha afya zetu kwa kiasi kikubwa sana na kujiepusha na magonjwa hasa yasiyo ya kuambukiza. Wengi wetu tumejikuta tukipata maradhi mbali…

Ijue teknolojia ya kufundisha kusoma

GraphoGame (GG) au GrafoGemu kwa Kiswahili, ni mchezo unaotumia teknolojia rahisi ambao ulibuniwa na timu ya utafiti ya Chuo Kikuu cha Jyvaskyla cha nchini Finland chini ya usimamizi na uongozi wa Profesa Heikki Lyytinen. Japokuwa mchezo wa GrafoGemu ulianza katika…

Utapeli wa viwanja balaa Moshi

MOSHI    CHARLES NDAGULLA Eneo la Njiapanda katika Mji Mdogo wa Himo, mkoani Kilimanjaro linalosifika kuwa kitovu cha biashara ya magendo, hasa mahindi, yanayosafrishwa kwenda nje ya nchi kwa njia za panya, sasa limeongezewa sifa nyingine.   Sifa hii ya…

Hisia ovu za kishirikina zinavyosumbua jamii Bukoba Vijijini

Na Prudence Karugendo   KAMULI ni kijiji kilichomo Kata ya Kibilizi, Tarafa ya Rubale,  Bukoba Vijini, mkoani Kagera. Kwenye kijiji hicho kumejitokeza hisia na imani za kishirikina ambazo zimeanza kuwafanya wananchi kukosa amani na kuanza kuishi kwa mashaka makubwa kwa…

Ngeleja: Escrow haijaniyumbisha

Na Thobias Mwanakatwe   JINA la William Mganga Ngeleja lilianza kufahamika zaidi ndani na nje ya nchi mara tu baada ya kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2005 katika Jimbo la Sengerema, mkoani Geita na kuwashinda wagombea wenzake…