Category: Makala
Tahadhari kuhusu anemia
Kama una anemia, damu yako haiwezi kusafirisha hewa ya kutosha ya oksijeni kupeleka katika sehemu mbali mbali za mwili wako. Sababu kubwa la tatizo hili ni ukosefu wa madini ya chuma mwilini. Mwili unahitaji madini ya chuma kutengeneza ‘hemoglobin’. Hemoglobin…
Mfahamu mchoraji asiye na mikono
Ni siku ya Jumamosi, saa tano asubuhi, ninaikamilisha safari yangu kwenda nyumbani kwa Abdul Urio, mlemavu ambaye ameweza kupambana na changamoto za maisha bila kukata tamaa, huku akichukia vitendo vya kuomba. Ili kufika kwake, ilinilazimu kutoka nyumbani kwangu Kimara Mwisho,…
Sioni faida za kuwakamata
Wale wanaofanya rejea ya hali ya kisiasa nchini mwetu watakumbuka Augustino Mrema alivyokuwa na nguvu kubwa kisiasa mwaka 1995. Wapo ambao wanaamini hadi leo kuwa kama si mbinu na ushawishi wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, historia ya…
Je, katiba inanyumbulika? -(2)
Naam, hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mjadala kuhusu kauli ya Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya pili nchini, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyoitamka katika salamu za Idd el Fitr, Jumatatu, Juni 26, 2017 Jijijni Dar…
Yah: Wenye nia ya biashara nawafanye biashara
Kuna wakati nafikiria kama hii Tanzania niijuayo mimi inaweza ikarejea na kuwa ile ya neema ya kula asali na maziwa, ni kama mawazo potofu ambayo kimsingi yanaweza kuwa kweli, huwa naikumbuka sana Tanzania ya kima cha chini Sh 250/- ambayo…
Serikali yampatia tuzo Dk. Jane Goodall
Huwezi kuzungumzia kuhusu Hifadhi za Taifa za Gombe, pamoja na ile ya Milima ya Mahale, bila kutaja jina la Dk. Jane Goodall, ambaye ametumia miaka zaidi ya 57 katika kutafiti maisha na tabia za sokwe. Katika kutambua jitihada zake, Serikali…