Category: Makala
Nyakati tatu za dua kujibiwa (2)
Wiki iliyopita, katika sehemu ya kwanza ya makala hii, nilielezea kilio cha muda mrefu cha Watanzania kuhusu hali ya jamii kimaisha siyo nzuri na sheria za nchi hazifuatwi, kama ilivyoandikwa na gazeti moja nchini, mwaka 2013. Nilinukuu aya ya kwanza…
Kupata hati unaponunua ardhi ya kijiji kwa uwekezaji
K awaida hatimiliki (granted right of occupancy) hazitolewi kwa ardhi za vijijini. Ardhi za mijini ndizo zilizo na hadhi ya kupata hatimiliki. Lakini wapo watu ambao wamechukua maeneo ya vijijni kwa ajili ya uwekezaji. Wapo waliochukua ardhi kama wachimbaji…
Nahisi demokrasia yetu inahitaji fasili mpya (1)
Demokrasia inatafsiriwa kuwa: mfumo wa kuendesha serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Tafsiri haina tatizo, lakini yapo mambo yanavyoweza kutokea ndani ya mfumo huo ambayo yanaweza kusababisha hitilafu kubwa. Kwa utaratibu wetu, kila baada ya miaka mitano vyama…
Ng’ombe 1,000 wanaliwa Dar kila siku
Ng’ombe 1,000 wanaliwa kila siku jiji Dar es Salaam. Takwimu hizo zimepatikana katika machinjio yote yaliyoko jijini. Hali hiyo imesababisha ongezeko la mapato kutoka Sh milioni 4 hadi Sh milioni 8 kwa siku katika Mnada wa Mifugo Pugu, nje kidogo…
Mgogoro wa Israel na Palestina – 9
Madhumuni ya Mamlaka: Dhana ya Mamlaka za Kimataifa (International Mandates) zilichagizwa na Rais Wilson na viongozi wengine wa mapinduzi ya Russia na ukomo wa vita katika Vita ya Kwanza ya Dunia isingehusisha mmego wowote (annexation), lakini ingekatika katika Kanuni Kuu…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 35
Wagawa viwanja barabarani Ugawaji wa nyumba za Shirika la Nyumba (NCH) 663. Kwa muda mrefu kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa wananchi kuhusu ukiukwaji wa utaratibu unaotumika katika kugawa nyumba za Shirika. Baadhi ya waombaji wa nyumba hizo wamejaza fomu…