JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Loliondo: Wanayofichwa Rais Magufuli, Waziri Mkuu

Nayaandika haya nikisukumwa na kauli ya Rais John Magufuli, ya “msema kweli ni mpenzi wa Mungu.” Ili mambo yaweze kwenda mbele hatuna budi kuwa na ujasiri wa kuyasema mambo kwa uwazi ili kuondoa vikwazo vinavyoashiria mkwamo. Kuusema ukweli utawafanya viongozi…

Yah: Maisha ya kufikirika bila kufanya kazi ni njozi ya mchana

Hakuna mtu asiyefikiria, hata mimi ninafikiria sana katika maisha, jambo baya zaidi ninapofikiria mimi huwa nahama mwili mzima na kuelekea kunako giza la mawazo, hii ndio sifa ya binadamu anayeweza kufikiria jambo moja kwa umakini bila kuchanganya mambo, anayeweza kufikiria…

Unafsi unavyoleta matatizo Tanzania

Tanzania haiwezi kuendeshwa kupata maendeleo mazuri iwapo viongozi wake ni watu wenye unafsi katika kuyaendea maendeleo ya dunia, kama kanuni za sayansi zinavyotaka na imani ya Muumba wetu inavyotaka na inavyoagiza katika kuyakabili mazingira yetu nchini. Ifahamike kwamba Tanzania ni…

Wakati wa Afrika kushika hatamu unawadia

Mwenendo wa takwimu za kuzaliwa watoto duniani zinaashiria kuwa Bara la Afrika litakuwa na vijana wengi zaidi kuliko maeneo mengine ya dunia ifikapo mwaka 2050. Ni suala ambalo linatoa fursa na wajibu mkubwa kwa Bara la Afrika katika uhusiano wa…

Madhara ya kuacha ujamaa Tanzania

“K una namna tatu za kuendeleza usawa (Ujamaa) zaidi nchini mwetu. Kwanza ni kupunguza tofauti ya kipato baina ya watu. Ya pili ni jinsi huduma (afya, elimu nk) za jumuiya zinavyomfikia kila mtu, na kiasi ambacho huduma hizo ambazo hugharamiwa…

Ni hatari kuua biashara

Leo nimeona niandike mada inayogusa maisha ya kila Mtanzania –  biashara. Naandika mada hii kutokana na mwenendo usioridhisha unaoonesha kuwa biashara nyingi hapa nchini zinakufa.  Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa Tanzania ni taifa la wakulima na wafanyakazi. Ni kwa…