Category: Makala
Neema na majanga ya usafiri wa Pikipiki
Biashara ya kusafirisha watu kwa njia ya pikipiki, maarufu kama bodaboda, imeleta neema na majanga sawia hapa nchini. Biashara hiyo inaonekana kuwaneemesha wale wanaoiendesha, hususan vijana ambao wanazidi kuongezeka huku ajira kikiwa ni kitendawili kinachokosa mteguzi hata pale inapotolewa ahera…
Umaskini umekuwa mtaji wa ‘manabii wa uongo’
Kwanza, naomba nitangaze maslahi yangu kwenye makala hii. Nayo ni kwamba naamini Mungu yupo. Sijawahi kutilia shaka uwepo wa Muumba kwa sababu ni vigumu mno kuamini kuwa haya yote tunayoyashuhudia, kuanzia kwenye uumbaji, ni mambo yaliyojitokeza yenyewe tu! Haiwezekani. Mungu…
Yah: Awamu ya Trump imeanza, wataisoma namba kama sisi
Leo hii ukimuuliza Mtanzania yeyote atakwambia anasoma namba ambayo haijui, dhana ya kusoma namba imekuja kipindi ambacho Rais wa awamu ya tano Tanzania alipoingia madarakani na kauli mbiu ya hapa kazi tu. Leo hii nchini Marekani kuna waka moto, kuna…
Umuhimu wa misingi mitatu ya udugu
“Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja” Hii ni ahadi ya kwanza ya mwana- TANU, kati ya kumi ambazo alizitii na kuzitimiza enzi za uanachama wake. Ukweli ahadi tisa zote zimebeba neno zuri na tamu katika kulitamka, nalo…
Mgogoro wa Israel na Palestina -5
Wiki iliyopita makala hii iliishia kwa kueleza kuwa Palestina si makazi ya kihistoria ya Wayahudi. Mnamo 1920 baada ya suala la udhamini wa Uingereza kwa Palestina lilipojadiliwa na Bunge- The House of Lords, Lord Sydenham alitamka… Endelea. “Naeleza kwa…
RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 31
Ardhi ni kichomi ARDHI 601. Tanzania ina eneo la Kilomita za mraba 942,000. Kati ya hizo kilomita za mraba 888,578 ni eneo la ardhi. Idadi ya watu kwa kilomita ni ndogo isipokuwa kwa maeneo machache kama Wilaya za Ukerewe, Rungwe,…