Category: Makala
Mila na desturi za Wazanaki: faida za kibanziko
Kuna baadhi ya mila na desturi tulizorithishwa na wazee wetu tunaambiwa hazifai. Lakini zipo mila na desturi ambazo zinaweza kuchangia kuimarishwa kwa mahusiano ndani ya jamii. Mojawapo ya desturi hizo kwa kabila la Wazanaki ni wimbo unaojulikana kama kibanziko. Mzee…
Ndugu Rais utapimwa kwa uwezo wako wa kuleta mabadiliko!
Ndugu Rais, katika Uchaguzi Mkuu uliopita Watanzania katika ujumla wao walitaka mabadiliko. Kwa kushupalia mabadiliko, mgombea Edward Ngoyayi Lowassa aling’ara kuliko wagombea wenzake wote! Washabiki wake wengi walimtaka kwa sababu tu aliongea lugha waliyoitaka kuisikia, ya kuwaletea mabadiliko! Imani ya…
Vita ya wakulima, wafugaji ni janga
Nianze makala kwa kumshukuru Mungu ambaye kwa huruma yake anatujaalia afya njema katika maisha yetu ya kila siku. Tangu tupate Uhuru Desemba 9, 1961 hadi sasa, nchi yetu imekuwa na sifa kubwa ya Watanzania kuishi kwa utulivu na amani. Kusema…
Adha ya ‘Double allocation’ (2)
Ndipo akateuliwa Jaji Mihayo kuisikiliza. Huyu naye alianza kuisikiliza upya. Kesi imenguruma kwa Jaji Mihayo kuanzia tarehe 01/12/2006, ikaendelea tarehe 13/04/2007, 26/06/2007, 10/07/2007, 02/11/2007. Kutokana na maombi ya wavamizi kwa Jaji Mihayo barua Kumb. Na. Mushy/A58/LND ya tarehe 03 Julai…
Ukosefu wa ajira ni matokeo ya akili zetu
Mjadala wa ukosefu wa ajira unazidi kushamiri. Ndiyo, tatizo la ajira lipo na bila shaka litaendelea kuwapo; si kwa Tanzania tu, bali kwa mataifa mengi duniani. Nchi kama ilivyokuwa Libya, kwao tatizo la ajira lilikuwa dogo. Hali hiyo ilitokana na…
Yah: Niamshwe kukicha kama kweli nimelala
Inawezekana huwa sipati usingizi, ninaota huku nikiwa macho makavu lakini naamini ninachokiona katika njozi zangu kina nasaba na ndoto ya maisha halisi yanayonigusa mimi na Watanzania wengine wengi. Hii ndiyo Tanzania hata kama ni ya ndoto lakini ndiyo Taifa langu…