Category: Makala
Karibu Jenerali Waitara, jiandae kukabiliana na wanasiasa
Nimemfahamu zaidi Jenerali George Waitara wakati huo akiwa na cheo cha Brigedia Jenerali. Ukaribu wangu kwenye shughuli mbalimbali za kijeshi, uliochochewa na mapenzi yangu kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ulinisaidia kumwona mara kwa mara akiwa kwenye…
Yah: Fikra za maendeleo ya siku moja ni ndoto za wajinga
Niliwahi kuandika waraka mmoja hapa kwamba mataifa yaliyoendelea yamepitia misukosuko mingi ya kukamilisha maendeleo yao. Kuna makosa waliyopitia na wapo walioweza kupita njia sahihi kufikia malengo. Kuna usemi kwamba hata siafu au mchwa wanaofanya kazi kwa umoja na kushirikiana, kuna…
Trump anayo hoja anapohofu kuibiwa kura
Hofu za kuibiwa kura huwa tunazisikia kwenye nchi ambazo tunaambiwa demokrasia haijakua. Hayo yamebadilika sasa kwa sababu kwenye nchi ambayo tunaambiwa ndiyo mfano bora kuliko yote ya demokrasia, mgombea wa urais ametamka kuhofia kuibiwa kura zake. Wapigakura wa Marekani wanapiga…
Yatakayomkwamisha Rais Magufuli – 5
‘Serikali ikiendeshwa kisiasa, CCM ikiongozwa kiserikali Tanzania itadidimia’ Hii ni sehemu ya mwisho ya mada ihusuyo mambo yanayoweza kumkwamisha Rais Magufuli. Namshauri Rais na washauri wake wa kisiasa na kiserikali wajipatie vitabu viwili – cha ‘Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka’…
Majibu: Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo (2)
Mojawapo ya makubaliano ya mwafaka yaliyoafikiwa baina ya wakulima na wafugaji iliweka utaratibu wa kuzuia migogoro na migongano baina yao kwa wao. Makubaliano hayo yalitekelezwa kwa wahusika kutenga mipaka ya maeneo ya kuendesha shughuli za wakulima na wafugaji. Mwafaka wa…
Miezi 40 ya mapambano na Dk. Edward Hosea (2)
Katika makala ya wiki iliyopita nilihitimisha kwa kueleza kwamba Juni 3, 1998 nilipokea amri kutoka Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKURU) iliyonitaka kuwasilisha taarifa ya mali zangu zote pamoja na maelezo ya jinsi nilivyozipata; na kwamba niliweza kufanya…