Category: Makala
Hivi tumerogwa na nani?
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa kuwa na umoja na amani, tofauti na nchi nyingi katika Bara la Afrika na dunia kwa ujumla. Nchi yetu imekuwa na amani kiasi cha Watanzania kuchoshwa na amani hii inayoliliwa na wenzetu hadi kuanza…
RATIBA YA SERIKALI KUHAMIA DODOMA
Mheshimiwa Spika, ili kufanikisha azma ya Serikali kuhamia Dodoma, tayari imeandaliwa ratiba itakayowezesha Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, kuanzia mwezi Septemba, 2016 hadi mwaka 2020, bila ya kuathiri bajeti yetu ya mwaka 2016/2017 kama ifuatavyo: Kwanza: Awamu ya Kwanza itakuwa…
Ndugu Rais liondolee Taifa aibu hii!
Ndugu Rais ulipoingia tu madarakani uliwaambia masikini na wanyonge wa nchi hii kuwa nchi yao hii ni tajiri sana, hata inaweza kuwa mfadhili wa kuzifadhili nchi masikini. Lakini kwa uchungu ukasema nchi hii imeliwa vibaya mno kwa muda wa miaka…
Sheria zinazolinda misitu zisimamiwe bila woga
Awali ya yote sina budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai na kutuwezesha – wewe na mimi – kuishi hadi leo. Wengi walitaka wawe hai, lakini haikuwezekana; hivyo ni jukumu letu tunaoishi kumshukuru Mungu bila kikomo kutokana na rehema…
U-kinyonga na u-popo ni hatari
Sisi wanadamu tunajua sana viumbe hawa wawili – kinyonga na popo. Tunaishi nao. Kila kiumbe ana tabia na sifa maalumu zinazowatofautisha na wanyama au viumbe wengine. Kinyonga anajulikana sana kwa ile hali yake ya kujibadilisha badilisha rangi ya ngozi yake…
Jeshi la Polisi liundwe upya
Hivi karibuni kwenye gazeti hili tuliandika habari iliyohusu mtandao wa matapeli wa madini unaowahusisha polisi kadhaa jijini Dar es Salaam. Tukaeleza kwa kina namna polisi hao wanavyoshirikiana na matapeli wa madini kuwaibia wenyeji na raia wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali…