Category: Makala
Tujitahidi Dodoma iwe ‘jiji’ badala ya ‘zizi’
Wapo ambao hadi leo hawajamwelewa Rais Dk. John Magufuli, na staili yake ya uongozi. Wamekuwa hawamwelewi kwa sababu ya mazoea. Hakuna dalili ya kumwelewa haraka leo au kesho! Lililo la muhimu ni kwamba muda utafika tu – watamwelewa. Baada ya…
Yah: Kilimo kwanza liwe ajenda ya kitaifa
Nianze waraka wangu kwa kuwapongeza viongozi wote ambao wanafanya kazi kwa msukumo wa kuleta mabadiliko ya kweli katika maendeleo ya taifa hili, mabadiliko ambayo lengo kuu ni kumuinua Mtanzania huyu maskini kwa kipindi kirefu awe na ahueni ya maisha. Zamani …
Mangula, Mutungi na Safari kutaneni
Wazaramo wana misemo mingi katika lugha yao. Kati ya hiyo ni msemo usemao “Wose tozenga ing’anda imwe, habali tugombele lumango?” Katika tafasii sahihi ya Kiswahili “Wote tunajenga nyumba moja, kwa nini tugombee fito?” Nyumba ninayo kusudia kuizungumzia ni nchi yetu…
Hatari za kukwea Mlima Kilimanjaro
Julai 18, mwaka huu mtu mashuhuri kutoka Afrika Kusini alifariki dunia baada ya kupata matatizo ya afya wakati akikwea Mlima Kilimanjaro. Huyu ni dereva wa magari ya mashindano na mtangazaji wa runinga, Gugu Zulu. Kifo chake kimezua mjadala juu ya…
‘Nateseka, walimwengu nisaidieni’
Simu yenye namba 0768 299534 inaita. Kwenye orodha ya namba nilizonazo haimo. Ni namba mpya. Napokea, na mara moja nasikia sauti ya unyonge ikilitaja jina langu. Bila kuchelewa anataja jina lake. ‘Naitwa Mangazeni, nipo hapa Butiama, naomba ndugu yangu unisaidie…
Ndugu Rais dunia hadaa ulimwengu shujaa!
Ndugu Rais, dunia imeshuhudua aliyemua Daudi Mwangosi kikatili akifungwa gerezani kwa miaka 15! Daudi Mwangosi hakuwa anaandamana! Alikuwa anatafuta habari! Kwa polisi wetu lile lilikuwa kosa kubwa ambalo lilimgharimu uhai wake! Kabla ya kuuawa Daudi Mwangosi alipigwa kinyama, alipigwa kijambazi,…