JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Uvamizi maeneo ya hifadhi janga la Taifa

Uvamizi katika maeneo yaliyohifadhiwa kisheria na kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ibara ya 27, umeendelea kushika kasi huku kukiwa hapo na tishio la kuongezeka kwa migogoro ya matumizi ya ardhi baina ya…

Yah: Siasa za wanasiasa baada ya uchaguzi, ni dhambi

Nianze kwa kuwapa hongera wananchi wote kuyakubali mabadiliko yaliyotokea pasi na mnadi mwingine ambaye inasemwa na wanasiasa kuwa kadandia ajenda yao mbele, lakini pia inawashughulikia kama wengine waliokuwa na maisha ya kujiongeza binafsi. Hii dhana ya mabadiliko imekuwa ngeni kivitendo,…

Muungwana ni kitendo

Ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo. Hii ni methali chanya na tambuzi kwa mtu yeyote anayejisifu au anayetambuliwa ni muungwana. Muungwana ni mtu mwenye adabu na tabia zinazokubalika katika jamii; adinasi. Maana ya pili mtu asiye mtumwa. Kwa mujibu…

Uingereza waanza dhambi ya ubaguzi

Siku chache zilizopita Waingereza wamepiga kura kujitoa katika Muungano wa Nchi za Ulaya (EU), na haikuchukua muda, thamani ya pauni ya Uingereza ikaporomoka na kufikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu mwaka 1985. Zaidi ya asilimia 52 ya waliopiga kura walipiga…

Daladala zinavyosumbua wananchi

Nazungumzia daladala za Dar es Salaam. Kihistoria mpaka mwaka 1983 hakukuwa na mabasi ya abiria yaliyokuwa yakiitwa ‘daladala.’ Jina hili ‘daladala’ lilianza kutumika mwaka 1983. Mwaka 1983 Dar es Salaam ilikuwa na magari machache ya abiria. Watu wengi wakawa wanachelewa…

Kuwa ombaomba ni fedheha

Awali ya yote, nianze mada hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai aliotujaalia, mimi na wewe, kuweza kuwa hai hadi sasa.  Naamini uhai tulio nao ni kwa neema ya Mungu maana wengi walitamani tuwe nao lakini haikuwezekana. Hivyo…