JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Ukasumba wa kijinga wa kuiga kila kitu cha ajabu

Wiki kadhaa zilizopita, niliwahi kuandika hapa juu ya kasumba ya kudharau kilicho chetu na kuona cha watu wengine ni bora kuliko chetu. Niliwakumbusha maisha yetu ya kujitegemea siku chache baada ya Vita ya Uganda jinsi tulivyofunga mikanda na kujitegemea kwa…

Watanzania usalama wetu mikononi mwetu

“Ukweli una tabia moja nzuri sana, haujali mkubwa wala mdogo; haujali adui wala rafiki. Kwake watu wote ni sawa. Pia ukweli unayo tabia ya kujilipiza kisasi; kama ukipuuza.  Ukiniona nataka kulipiga teke jiwe kwa kuwa nafikiri kuwa ni dongo au…

Mbinu za kubadalisha tabia mbovu

Kwenye kitabu nilichosoma hivi karibuni, The Power of Habit (Kwa Kiswahili: Nguvu ya Kubadilisha Tabia) mwandishi Charles Duhigg anatoa somo juu ya namna ya kubadilisha tabia zisizofaa. Ni kitabu kilichochapishwa mwaka 2012 na kampuni ya Random House Trade Paperbacks ya…

CCM chama tawala kilichoshindwa kutawala

Majuzi, aliyekuwa Spika wa Bunge la kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, alisema kwamba ushindi wa Rais Dk John Magufuli katika Uchaguzi Mkuu 2015 umenusuru Watanzania na machafuko. Amesema kwamba machafuko yangeweza kutokea kutokana na tofauti kubwa ya…

Kiwanda cha Saruji chatesa wakazi Dar

Wakazi wa kata za Boko na Bunju, Dar es Salaam wamekilalamikia Kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement (Wazo) kwa uharibifu wa mazingira ambao umeathiri makazi na uharibifu wa mali zao. Wakazi hao wameieleza JAMHURI kwamba maporomoko ya maji kutoka katika…

Rasilimali za Tanzania na umaskini wa Watanzania

Mjadala huu ninaoenda kuuzungumza ni mtazamo na maoni yangu. Nitashukuru kama mjadala huu utagonganisha fikra na mitazamo ya Watanzania wengi. Binafsi, ninaamini kwenye falsafa ya mgongano wa kifkra kwani unazaa mawazo mapya na ambayo hayakuwapo.  Mwezi Agosti wa mwaka 386 akiwa…