Category: Makala
Uchaguzi hauna maana Afrika
Kwa maana yake halisi uchaguzi ni njia ya msingi ya jamii ya kujipatia viongozi kidemokrasia. Sifa mojawapo ya uchaguzi wa kidemokrasia au wa huru na haki ni uchaguzi kufanyika kwa siri. Sifa nyingine ni uchaguzi kufanyika mara kwa mara katika vipindi vinavyoeleweka,…
Umakini, uharaka wa Serikali ya Awamu ya 5
Umakini ni muhimu katika jambo lolote, lakini pia uharaka ni muhimu zaidi. Haina maana kwamba kitu chochote kinachofanyika kwa umakini ni lazima kiendeshwe kwa ugoigoi na kwa kupoteza muda. Ila uharaka ndiyo unaoonesha umakini unaotakiwa. Mtu makini ni mwepesi wa…
Tanzania itakuwa shamba la bibi hadi lini?
Kwa mila na desturi za makuzi ya Kitanzania, tunafahamu uhusiano uliopo baina ya bibi na mjukuu. Kwa haraka tu, chochote akitakacho mjukuu kutoka kwa bibi, inakuwa rahisi kukipata. Mahitaji ya mjukuu mara nyingi ni matunda na chakula, hivyo bibi akiwa…
Ukweli kuhusu Mwiba Holdings (1)
Naanza kuona nuru ya uhuru wetu na heshima vikirejea kupitia Serikali hii ya Awamu ya Tano. Ni dhahiri kuwa nchi imerudi mikononi mwa viongozi wazalendo ambao hawatishiwi nyau wala kupokea amri kutoka Marekani. Ile kinga waliyopewa wageni kuvunja sheria za…
Tatizo halikimbiwi, hukabiliwa (3)
Sasa hapo mnaona jibu la lile swali kwa nini Wakil alijiondoa? Ndiyo sababu hakusimama mhula wa pili, aliona heri astaafu kwa heshima na ampishe Mzanzibari mwingine kuongoza chombo hiki huko Visiwani. Baada ya Uchaguzi ule 1985-1990 huko Pemba kulitokea vitimbwi…
Hatutaendelea kwa kulalama
Makala iliyopita nilijadili namna uvivu, udokozi, na udhuru vinavyotukwamisha Watanzania wengi. Nikasema hizo ni miongoni mwa sababu chache, kati ya nyingi zinazowafanya baadhi ya waajiri nchini mwetu waamue kuajiri wageni bila kujali maumivu ya kiwango cha mishahara na malipo mengine…