Category: Makala
Yah: Rais Dk. Magufuli na masharti ya maendeleo
Nilipokuwa mdogo, kuna wakati nilimsikia Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, akituhutubia. Naikumbuka hotuba yake yote, hebu tuikumbuke na wenzetu halafu tutafanya majumuisho tuone je, inapaswa kuigwa? Alisema: “Kila mwananchi anataka maendeleo; lakini si kila mwananchi anaelewa na kukubali masharti…
Si chochote, ni chochote
Wake wenza wawili waliishi katika makazi tofauti na mume wao katika mji mmoja. Kila mmoja alijitahidi kumtunza mume na kumuweka katika maisha ya furaha, upendo na utulivu pasi na mwenzake kujua mapenzi anayepewa mume. Mke mkubwa na mke mdogo kila…
Jipu ni jipu tu hata liwe wapi
Waswahili wanasema kwamba ukimwona mwenzio ananyolewa, usilete maneno isipokuwa anza kutia maji kwenye nywele zako na kukaa mkao wa kunyolewa. Hayo ndiyo yaliyojiri Ijumaa ya Machi 4, mwaka huu kwa Balozi Ombeni Yohana Sefue, aliyekuwa akishangilia wakati wenzake wakinyolewa, naye…
Mawaziri wanapotafuta suluhisho North Mara
Bila shaka ni jambo la kusubiri na kuona baada ya mawaziri wawili wa Awamu ya Tano kutembelea kwa ziara ya kushtukiza maeneo athirika kutokana na maji yanayodaiwa kuwa na athari kutoka katika mgodi huo. Kabla ya kuitwa ABG, mgodi huo…
CCM ni Jipu lililoshindikana?
Kama tujuavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama kikongwe, ingawa ukongwe wake hauzidi ule wa Chama cha African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini kilichoanzishwa mnamo mwaka 1912. ANC ni chama cha siasa kikongwe zaidi barani Afrika. Tanzania ni nchi ya vyama…
Waraka kuhusu Bandari kwa Rais John Magufuli
Tanzania inazungukwa na nchi saba ambazo hazina bandari. Nazo ni Malawi, Zambia, DR-Congo, Burundi, Rwanda, Uganda na Zimbabwe. Jiografia ya Tanzania inatoa fursa kubwa sana kibiashara na ajira katika tasnia ya uchukuzi na usafirishaji wa shehena. Kwa kutumia barabara na…