JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Uhuru wa Habari hatarini Kenya

Denis Galava alikuwa mhariri katika gazeti la Nation linalochapishwa kila siku jijini Nairobi.  Hili ni gazeti linalomilikiwa na Kampuni ya Nation Media Group (NMG), pamoja na mengine  yaliyoko Uganda na Tanzania. Mmiliki wake mkuu ni Aga Khan. Moja ya majukumu…

Profesa Baregu amepotosha umma

Kumetolewa matamshi kadha kutoka kwa wanasiasa na hasa wasomi wa vyuo vikuu mara tu baada ya Rais wa Jamhuri kuteua wakuu wa mikoa wapya. Baadhi ya wanasiasa wazoefu hapa nchini, ama kwa kukusudia (deliberately), au kwa kutokujua kwao (sheer ignorance),…

Asante mbabe, Watanzania tumekusikia

“Kujitawala kwa kweli hakuwezekani ikiwa taifa moja linategemea misaada na mikopo ya taifa jingine kwa maendeleo yake. Hata kama pangetokea taifa au mataifa ambayo yako tayari kutupa fedha zote tunazozihitaji kuendesha mipango yetu ya maendeleo, isingekuwa sawa kwa nchi yetu…

Yah: Mheshimiwa Magufuli majipu mengi mno tushirikishe kuyatumbua

Siku mbili tatu hivi uliposema kuna watumishi wa Serikali wanaishi kama malaika, tulikuelewa kwamba unaelewa kinachotukera waajiri wao ambao ni sisi wananchi. Tulielewa kuwa kero yetu imekufikia na wewe ndiye tuliyekuajiri uwe bosi wao na unatakiwa ujue nini mahitaji yetu. Mpaka…

Ukweli kuhusu Mwiba Holdings (3)

Maelekezo/Maagizo ya Nyalandu   Nyalandu aliwaambia Wakurugenzi -Profesa Songorwa na Profesa Kideghesho kuwa yeye anamfahamu mmliki wa FCF; na ni marafiki. Lakini kubwa ni historia ya kampuni zake katika tasnia ya uwindaji wa kitalii na mchango mkubwa katika uhifadhi na…

Wasaliti wa Chama Cha Mapinduzi

Tumesikia kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kipo mbioni kuwashughulikia wanachama wake wanaodaiwa kukisaliti chama chao wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana. Ni uchaguzi ule wa kihistoria ambao tulishuhudia ushindani mkubwa. Haijulikani CCM itatumia njia gani kuwapata wasaliti wake kwa haki….