Category: Makala
Barua ya wazi kwa Rais John Magufuli (2)
KAMATA KAMATA NA MAUAJI HOLELA KISANGIRO Mwaka jana, Hashim Shaibu Mgwandila, aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro na kuahidi kuwasaka wahamiaji haramu popote walipo ndani ya Wilaya ya Ngorongoro. Alianzisha operesheni ya kuwasaka katika Tarafa ya Loliondo tu na…
Tumemkosea nini Mungu wetu?
Unaweza usiamini, lakini huu ndio ukweli wenyewe. Tazama hizi picha mbili kwa makini. Nilipoziweka kwenye mitandao ya kijamii, wapo walionitaka niache ‘mzaha’, wakidhani picha na maelezo nilivyoweka vilikuwa vya kuchangamsha baraza! Picha hizi ni za vituo viwili tofauti vinavyotumiwa na…
Macho yanacheka, moyo unalia
Uchaguzi Mkuu wa marudio wa Zanzibar Machi 20, mwezi huu, umepita salama salimini na mgombea urais aliyeshinda ametangazwa na kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambaye ni Dk. Ali Mohamed Shein kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni…
Yah: Magufuli, watumishi wa umma hawakujiandaa na mabadiliko
Kwanza nadhani walifikiri ni mabadiliko ya chama, walibweteka wakawa hawajihusishi na siasa, kumbe walisahau kale ka wimbo ketu ka TANU kwamba chama kinashika hatamu, na kwamba watumishi hawa waliamini kuwa Serikali na chama ni vitu viwili tofauti. Nimeanza kwa kukupongeza…
Uchaguzi hauna maana Afrika
Kwa maana yake halisi uchaguzi ni njia ya msingi ya jamii ya kujipatia viongozi kidemokrasia. Sifa mojawapo ya uchaguzi wa kidemokrasia au wa huru na haki ni uchaguzi kufanyika kwa siri. Sifa nyingine ni uchaguzi kufanyika mara kwa mara katika vipindi vinavyoeleweka,…
Umakini, uharaka wa Serikali ya Awamu ya 5
Umakini ni muhimu katika jambo lolote, lakini pia uharaka ni muhimu zaidi. Haina maana kwamba kitu chochote kinachofanyika kwa umakini ni lazima kiendeshwe kwa ugoigoi na kwa kupoteza muda. Ila uharaka ndiyo unaoonesha umakini unaotakiwa. Mtu makini ni mwepesi wa…