Category: Makala
Jipu ni jipu tu hata liwe wapi
Waswahili wanasema kwamba ukimwona mwenzio ananyolewa, usilete maneno isipokuwa anza kutia maji kwenye nywele zako na kukaa mkao wa kunyolewa. Hayo ndiyo yaliyojiri Ijumaa ya Machi 4, mwaka huu kwa Balozi Ombeni Yohana Sefue, aliyekuwa akishangilia wakati wenzake wakinyolewa, naye…
Mawaziri wanapotafuta suluhisho North Mara
Bila shaka ni jambo la kusubiri na kuona baada ya mawaziri wawili wa Awamu ya Tano kutembelea kwa ziara ya kushtukiza maeneo athirika kutokana na maji yanayodaiwa kuwa na athari kutoka katika mgodi huo. Kabla ya kuitwa ABG, mgodi huo…
CCM ni Jipu lililoshindikana?
Kama tujuavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama kikongwe, ingawa ukongwe wake hauzidi ule wa Chama cha African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini kilichoanzishwa mnamo mwaka 1912. ANC ni chama cha siasa kikongwe zaidi barani Afrika. Tanzania ni nchi ya vyama…
Waraka kuhusu Bandari kwa Rais John Magufuli
Tanzania inazungukwa na nchi saba ambazo hazina bandari. Nazo ni Malawi, Zambia, DR-Congo, Burundi, Rwanda, Uganda na Zimbabwe. Jiografia ya Tanzania inatoa fursa kubwa sana kibiashara na ajira katika tasnia ya uchukuzi na usafirishaji wa shehena. Kwa kutumia barabara na…
Tunazuia sukari kutoka nje kwa maslahi ya nani?
Februari 18, mwaka huu Rais John Magufuli alitangaza kupigwa marufuku kwa uagizaji wa sukari kutoka nje. Akasema kama kuna haja ya kutoa kibali, basi ni yeye ndiye atakayetoa. Alisema sababu ya hatua hiyo ni kuwa kuna maofisa wa Serikali ambao…
Tatizo halikimbiwi, hukabiliwa (2)
Mzanzibari mwingine yeye katamka maoni yake hivi, “…endapo chama hicho cha CUF kitasusia uchaguzi huo, kitapata hasara za namna mbili. Mosi, kupoteza madaraka kwa viongozi wake wa juu na pia kuondoa ushawishi wa chama hicho kwenye maamuzi muhimu ya Zanzibar…