Category: Makala
Chondechonde wapinzani ogopa laana kwa kumsakama Magufuli
Watawala makini, kwa maana ya wafalme, marais na mawaziri wakuu, huwa na namna ya kuendesha nchi na falme ambazo wao ni vinara. Kila mfalme, rais na hata waziri mkuu hutafuta njia iliyo bora anayoona inafaa kuendesha nchi yake kwa manufaa…
Vifungu vya Katiba vinavyochefua
Kwa muda mrefu katika Tanzania yetu, viongozi wengi wameyaangalia magazeti kama vyombo vya uzushi na uchochezi. Mtu mmoja atashauri suala fulani lililoandikwa gazetini lifuatiliwe. Lakini kiongozi atasema kwamba suala hilo lisifuatiliwe kwa kuwa hayo ni mambo ya magazetini yasiyo na…
Magufuli na uchaguzi wa Zanzibar wapi na wapi?
Kuna maneno yanayosemwa kwamba Rais John Pombe Magufuli anapaswa kuingilia kati sakata la Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliovurugika na kutakiwa kurudiwa tena. Tayari Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imeishatangaza tarehe ya kurudiwa kwa uchaguzi huo. Kwa hapa nataka nilijadili…
Naomba kazi uhamiaji
Katika nchi ambazo najivunia kuzifahamu na kuishi maishani mwangu ni Tanzania. Naipenda nchi yangu kutokana na kila kilichomo ikiwa ni pamoja na baadhi ya viongozi wake. Kwa siku ya leo nitakumbushia andiko langu la mwaka mmoja uliopita ambalo niliwahi kumwandikia…
Mwenyekiti alivyoitafuna Halmashauri Ukerewe
Dhana ya kupambana na ufisadi inahitaji jicho la ziada kutokana na watumishi wa umma kutumia fursa wanazopata kujineemesha nje ya utaratibu rasmi wa kiserikali, uchunguzi wa Gazeti la JAMHURI, umebaini. Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe imeingia katika mgogoro mkubwa, baada…
ATC ni zaidi ya biashara (1)
Watanzania wamelipokea kwa furaha tamko la Rais John Magufuli kuamua kulifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) lililopotea kwa miaka zaidi ya miaka 16 sasa. ATC ilianzishwa mwaka 1977 baada ya shirika la ndege la East African Airways (EAA) kuvunjika kutokana…