Category: Makala
Ilala uvunje urafiki na uchafu uliokithiri
Ni jambo lisilopingika kuwa Ilala ndiyo Dar es salaam, na kama kuna mtu yeyote anayepinga na ajitokeze hadharani kupinga ili tupingane kwa hoja. Pamoja na ukweli huo, bado Halmashauri ya Manispaa ya Ilala haijajitambua hata kidogo kwenye uwajibikaji katika maeneo…
Fidia unazoweza kulipwa Serikali inapotwaa ardhi yako
Kwa kawaida Serikali hutwaa maeneo. Huhamisha wahusika, wamiliki, na kuchukua eneo kwa malengo maalum yaliyokusudiwa. Yaweza kuchukuliwa nyumba yako, kiwanja, au hata shamba. Mara kadhaa Serikali hufanya hivi panapo mahitaji maalum ya shughuli za umma kama ujenzi wa miundombinu kama …
Hali ya kisiasa nchini itizamwe kwa umakini
Tanzania inaonekana ni nchi ya amani na utulivu kwa wakati huu. Na huo umegeuka wimbo unaoimbwa na kila mmoja wetu lakini bila kuelewa vina vya wimbo huo vinapatikanaje. Wimbo upo tangu miaka mingi iliyopita, unaimbwa kwa mbwembwe tu basi. Wengi…
Uchaguzi Mkuu bado mbichi
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 umekwisha kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuibuka kidedea. Hata hivyo, katika hali halisi ngoma inaelekea kuwa bado ni mbichi. Katika kuitolea ufafanuzi hoja hiyo, sina budi nielezee, japo kwa muhtasari, historia ya kibwagizo kilichozoeleka hapa…
Nyalandu ajiandaa kurejea Maliasili kwa kutumia Bunge
Sasa ni dhahiri kuwa juhudi za aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Jakaya Kikwete, Lazaro Nyalandu, kutaka kuwa mmoja wa mawaziri katika Serikali ya Awamu ya Tano ya Dk. John Magufuli zimegonga mwamba. Kama ambavyo ilikuwa katika…
Almasi ya Mwadui inavyompamba Malkia Elizabeth II wa Uingereza
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojaaliwa kuwa na aina mbalimbali za madini na inatajwa kuwa kitovu cha madini ya vito barani Afrika. Miongoni mwa madini hayo ya vito ni almasi. Asili ya neno ‘almasi’ kwa lugha ya Kiswahili haifahamiki vizuri,…