Category: Makala
Yah: Kikao cha Bunge na majipu yaliyokomaa ya posho za vikao
Tanzania ni moja kati ya nchi maskini sana duniani kutokana na kutotumia vizuri rasilimali zake na kuziendeleza. Lakini, pia ni nchi mojawapo ambayo utawala wa kujipendelea kisiasa katika kujilimbikizia mali umekithiri, hali ya kimaisha ya wanasiasa ni tofauti kabisa na…
Wadaiwa Sugu MUWSA ni jipu
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA), inahudumia Wakazi wapatao 194,756. Hii ni kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 pamoja na wakazi wengine 30,000 waliopo maeneo ya Wilaya za Hai na…
Tujadili kwa kina mgogoro wa Zanzibar
Kuna huu mgogoro wa Zanzibar. Mtu akiuangalia juu juu mgogoro huu atauona kwamba ni mwepesi na atashangaa kwa nini haumalizwi mara moja. Wapo watu watakaokwenda mbali zaidi (na kwa kweli tayari wameshakwenda mbali zaidi), wanajiuliza kwa nini Rais wa Jamhuri…
Afrika inateswa na mkoloni mweusi
Mwasisi wa taaluma ya ‘Public relation Arthur Page’ alipata kuandika haya; “Unaweza kutumia miaka 20 kujenga haiba yako mbele ya jamii lakini sekunde tano tu zinatosha kukiharibu kile ulichokijenga kwa miaka 20’’. Haiba iliyojengwa na wapigania uhuru wa bara la…
Madeni ya Taifa na mchakato wake
“Ninyi mu wasaliti na wezi; nimekusudia kuwang’oa na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu nitawang’oa. Kama watu wangelikuwa wanajua dhuluma kali iliyopo kwenye mifumo yetu ya kifedha na kibenki, basi kungelikuwa na mapinduzi kabla ya asubuhi.” Andrew Jackson, Rais wa Marekani;…
Simulizi ya bomoabomoa
Sasa ni mwezi tangu vilio vilipotawala Alhamisi, Desemba 17, 2015 baada ya wakazi wa maeneo ya Jangwani, Dar es Salaam kukumbwa na bomoabomoa, ambako nyumba zaidi ya 100 zilibomolewa katika maeneo ya Bonde la Mkwajuni na Magomeni katika Manispaa ya…