Category: Makala
Mapinduzi Z’bar yaenziwe
Januari 12 mwaka huu kama ilivyo kila mwaka, Visiwa vya Zanzibar vimeadhimisha Mapinduzi matukufu ya visiwa hivyo yaliyofikisha umri wa miaka 52. Mapinduzi hayo yanakumbukwa katika kuonesha nguvu ya umma inafanya kazi kuliko kitu chochote kile, pale umma unapochoshwa na…
Je, unahitaji ‘NGO’? Fahamu utaratibu wa kusajili
NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika la Bima, Shirika la Nyumba, Shirika la Umeme, mashirika ya vyakula n.k. Tunapozungumzia NGO…
Barua yangu kwa Profesa Ndalichako
Awali ya yote naipongeza Serikali kwa hatua chanya iliyoichukua ya kutoa elimu bure kuanzia elimu ya msingi hadi kidato cha nne. Ni hatua ya kupongezwa na kila mpenda maendeleo wa nchi yetu. Lakini, hatua ya kutoa elimu bora kwa kila…
Tumeshindwa kutofautisha ukweli na uchochezi
Katika Tanzania ya leo tumefika mahali ambako maneno ‘ukweli’ na ‘uchochezi’ yanaonekana kama yana maana moja. Mwandishi wa habari na wa magazeti akiandika ukweli mtupu bila kupindisha anaangaliwa kama mchochezi. Mwanasiasa, hasa wa kambi ya upinzani, akisema ukweli mtupu bila…
PRESS CLUBS: Mhimili muhimu wa taaluma ya habari
Kama wahenga wetu wanavyonena katika moja ya hekima zao kwamba umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, ndivyo unavyoweza kuzielezea klabu za waandishi wa habari nchini (Press Clubs). Hizi ni klabu za waandishi wa habari zinazowaleta pamoja wanataaluma wa tasnia hiyo…
‘Mnajiita Wazanzibari ndani ya Muungano’
Hakika Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa Tanzania visiwani (Zanzibar) imepata wakati mgumu kutokana na uchaguzi wa Oktoba 25, 2015 uliojaa vituko vingi kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) chini ya mwavuli wa UKAWA….