Category: Makala
Mambo muhimu kuanzisha biashara -2
Katika toleo lililopita mwandishi wa makala haya alieleza jinsi mfanyabiashara anayeanza kufanya biashara anavyoweza kulipa kodi yake ya mwaka sasa anatoa mfano jinsi ya utaratibu wa ulipaji wa kodi hiyo endelea
MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE
Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (5)
Huu ni mtiririko wa maandishi yaliyomo kwenye kitabu cha Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania kilichoandikwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaka 1994. Sehemu iliyopita, Mwalimu alisema, “Ni vigumu kuelewa kwa nini watu walio tayari kuwabebesha wananchi mzigo wa SeIikali tatu za kudumu, wanahofu gharama za kura ya maoni ya mara moja! Na kama viongozi wetu ni wapumbavu kiasi cha kwamba hawawezi kutunga swali “Je, unataka Serikali tatu?” Au “Je, unataka Serikali ya Tanganyika?” Kazi hiyo wangeweza kuwaachia wataalamu wenye uwezo zaidi.” Endelea…..
Kwa kutambua kwamba Bunge linafanya uamuzi yake kwa njia ya kura baada ya mijadala ya wazi, Serikali iliona kwamba hoja yoyote kati ya hizi ingewasilishwa bungeni, ingeweza kuligawa Bunge, kukigawa chama chetu na kuwagawa wananchi katika suala zito kama hili la Muundo wa Muungano.
Serikali sikivu inafitiniana, inafitinika
Utawala wa Serikali sikivu chini ya chama tawala unaendelea kuwadhihirishia Watanzania kuwa umefitinika na sasa kila kiongozi anadunda na lake na kauli zake na maagizo yake, bila kujali kuwa uamuzi wao kwa upande mwingine unawaumiza Watanzania ambao kila siku wamekuwa wanasifiwa kuwa Serikali yao sikivu inawasikia.
Manyerere fahamu kuwa majaji wanapendelewa, sisi mahakimu tumetupwa
Habari kaka Jackton,
Nimebahatika kusoma makala yako katika Gazeti la JAMHURI toleo Na. 106 la tarehe 22 hadi 28 Oktoba. Makala hayo yana kichwa cha habari “Rais dikteta atatutoa hapa tulipo”. Katika makala hiyo umeitendea haki heading yako na nakupongeza kwa hilo.
Tupande miti kukuza uchumi wetu (4)
Tupande miti kukuza uchumi wetu (4)
Kuna umuhimu mkubwa sana kwa sekta binafsi kupitia kampuni mbalimbali au mtu mmoja mmoja, ikiwamo wananchi walio wengi vijijini kujiwekea mipango na malengo mazuri na kuweza kupanda miti kwa wingi. Kuna mahitaji makubwa ya mazao ya misitu — nguzo, mbao, kuni na mkaa. Endelea…
Napenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha Watanzania walio vijijini na mijini kwamba misitu ya asili katika maeneo mbalimbali nchini imeharibiwa mno (highly degraded). Isitoshe, bado kasi ya uharibifu wa misitu ya asili ni kubwa kuliko unavyodhania maana matumizi ya mashine za moto (power or chain saws) yameongezeka sana.
KONA YA AFYA
Sababu za kupungua nguvu za kiume
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana hivi leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia, ni tatizo linalowakabili wanaume wengi mno; wazee kwa vijana karibu kote duniani na hususan maeneo ya mijini zaidi.
Habari mpya
- MSD yabadilishana uzoefu na wataalamu kutoka Madagascar
- Serikali yawekeza bilioni 59/- Ruaha
- Ulega: Lipeni watu wanachostahili
- Baba na watoto wake mbaroni kwa tuhuma za kuua
- Wanne mbaroni kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya
- Spika Zungu akutana na Spika wa Bunge la Serbia jijini Belgrade
- Mchengerwa: Sitakubali kuhujumiwa
- Rais Samia, Museveni malizeni kero tule maisha
- Baridi kali jijini New York yasababisha vifo vya watu 18
- Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni na makombora
- Zanzibar kujenga Taasisi ya Saratani
- Kumbukumbu ya Edward Ngoyai Lowassa
- Katibu Mkuu Dk Muyungi awakaribisha wadau usafiri wa kutumia umeme
- Polisi kuweka jitihada za kununua mbwa wapya wenye kumdhoofisha mhalifu
- Msajili hazina aikaribisha Jeune Afrique Media Group kuangazia fursa za uwekezaji