Category: Makala
Maisha ya mjasiriamali baada ya kustaafu
Wiki iliyopita nilifika katika mmoja ya mifuko ya pesheni kujiandikisha kwa ajili ya utaratibu wa kujiwekea akiba kwa mpango wa kuchangia kwa hiari. Baada ya kutoka katika ofisi za mfuko huo wa pesheni nikiwa na fomu na makabrasha mengi, nikakutana na mtu mmoja ambaye maongezi kati yangu na yeye ndiyo yaliyonisukuma kuandika makala haya.
Wanasiasa mmewasaidiaje wakulima wa pamba?
Msimu wa zao la pamba unakaribia kuanza, huku hali ya ubora na uzalishaji wake hapa Tanzania ukiwa hauridhishi. Kilimo cha Mkataba bado hakijafanya kazi.
NUKUU ZA WIKI
Mwalimu Nyerere: Wanadamu huongozwa na sheria
“Nchi zote duniani huongozwa na wanadamu na si malaika. Wanadamu hawa huongozwa na sheria na si kwa akili zao wenyewe.”
Haya ni maneno ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius K. nyerere.
Misitu ya Asili na Maendeleo ya Jamii Tanzania (1)
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo tukiwamo sisi wanadamu, kwa mema mengi mno anayonitendea na hasa kwa kutujalia uhai hadi leo hii.
Wachina hufanya chochote wanachotaka
Juni 1964 Tanzania ilitembelewa kwa mara ya kwanza na kiongozi wa ngazi ya juu kutoka China. Alikuwa Wazari Mkuu Chou en-Lai.
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
- Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya dunia, Wizara inatekeleza kwa vitendo – Dk Kazungu
- SADC : Sekta ya nishati iwe kichocheo cha kuunganisha Afrika kujenga uchumi
- Singida yatumia zaidi ya Trilioni 1.7 kufungua fursa za maendeleo
- Dk Jingu aitaka jamii kuwatunza wazee ikiwemo kupinga vitendo vya ukatili dhidi yao
- Askofu Dk Shoo akemea upotoshaji mchango wa Rais Samia kwa taasisi za kidini
Habari mpya
- Nishati safi ya kupikia ni ajenda ya dunia, Wizara inatekeleza kwa vitendo – Dk Kazungu
- SADC : Sekta ya nishati iwe kichocheo cha kuunganisha Afrika kujenga uchumi
- Singida yatumia zaidi ya Trilioni 1.7 kufungua fursa za maendeleo
- Dk Jingu aitaka jamii kuwatunza wazee ikiwemo kupinga vitendo vya ukatili dhidi yao
- Askofu Dk Shoo akemea upotoshaji mchango wa Rais Samia kwa taasisi za kidini
- MNEC Ndele, ajigamba kwa kujenga Ofisi za CCM
- Tume ya Haki za Binadamu yawahamasisha wananchi kuhusu haki na Uchaguzi Huru
- CRDB yamkabidhi Rahabu Mwambene zawadi ya gari aina ya Ford Ranger XLT
- Mbaroni kwa tuhuma za kushambulia hadi kumuua Enock Mhangwa Geita
- RC Kilimanjaro aongoza mamia ya watu kuaga miili 36 waliopoteza maisha kwenye ajali Same
- SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia
- REA yaja na mpango kabambe wa kuwezesha ujenzi wa vituo vya mafuta vijijini
- Rais Samia anapenda kufanya kazi na viongozi wa dini – Dk Biteko
- Uwekezaji unavyoibadilisha Katavi, kutoka rasilimali hadi huduma kwa wananchi
- CUF: Hatutosusia Uchaguzi Mkuu, badala yake tutashiriki kikamilifu