Category: Makala
Tamko ya Bodi ya Wadhamini MNH
Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ilikutana tarehe 28 Juni 2012 kujadili na kutathmini hali ya utendaji na utoaji wa huduma hivi sasa katika hospitali.
Vituko vya Jeshi la Polisi
*Lakodi kina mama ili wawapekue watuhumiwa Kituo cha Polisi Mbuguni, Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kinalazimika kukodi wanawake wanaoishi jirani na kituo hicho ili kuwafanyia upekuzi watuhumiwa wanawake kabla ya kuwaweka mahabusu. Kukodiwa kwa kina mama majirani kunatokana na…
Bilionea akubaliwa kujenga uwanja Serengeti
Mamlaka zote za Serikali zimeridhia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mugumu, Serengeti mkoani Mara.
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika
*Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno
Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Habari mpya
- Mpango asema Samia ameitendea haki Ilani ya CCM
- Samia apigia chapuo zao la kahawa Buhigwe
- Samia: Nitaufungua mkoa wa Kigoma kiuchumi
- Mapokezi ya Dk Nchimbi Siha Kilimanjaro yanoga
- Mongela ataka Watanzania kumuombea Samia
- Samia atangaza kufungua fursa Uvinza
- TBA yawataka wadaiwa sugu kulipa madeni yao kabla ya Septemba 30,2025
- Pinda: Tutashinda kwa kishindo, ataka umoja
- Kishindo cha Samia mkoani Tabora
- TAKUKURU Pwani yarejesha milioni 1.3 kwa wananchi Nyakahamba
- Bashiru awataka Tabora kulinda historia ya CCM
- Twendeni tukampe kura za heshima Samia-Nkumba
- PMM wafurahia fursa ya Oman, utachochea maendeleo
- Dk Biteko ahaidi neema zaidi Bukombe miaka mitano ijayo
- Dk Tulia amuombea Samia kura kwa machifu