Category: Makala
Profesa Mkenda tanzua hili umkomboe mkulima
Na Theonestina Kaiza-Boshe Kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa ikiimba wimbo kuwa ‘kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa’. Na kwa nyakati mbalimbali serikali imetengeneza sera na kaulimbiu mbalimbali kuchochea dhana hiyo ili kuboresha matokeo. Kuna wakati serikali…
JEHAN SADAT… Mama aliyeleta amani kati ya Misri, Israel
CAIRO, Misri Jehan, mjane wa Rais wa zamani wa Misri, Anwar Sadat, amefariki dunia nchini Misri akiwa na umri wa miaka 87. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la habari la taifa, MENA, Jehan Sadat amefariki dunia Ijumaa ya…
Yah: Nyuma ya pazia ni vilio tupu, lakini tuna furaha
Naomba niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ninyi muitikie kwa sauti kubwa: “Kazi iendelee” huku mkijipiga vifua mara tatu. Tangu wiki jana naugulia maumivu ambayo ninadhani nikishayazoea nitaanza kushangilia badala ya kububujikwa machozi. Leo ni wiki…
KUFUTWA NANENANE 2021… Fursa ya kurejea misingi ya kuasisiwa kwake
ARUSHA Na Thomas Laiser Februari 10, 2021, Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, alitangaza kufutwa maonyesho ya kilimo, maarufu kama Nanenane, ambayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka. Lengo la maonyesho hayo ni kutoa fursa kwa wakulima kujifunza mbinu za uzalishaji, kuwakutanisha…
Ya mzee Mwinyi na kauli ya Enock Powell
Dar es Salaam Na Andrew Bomani Kitabu cha maisha ya mzee Ali Hassan Mwinyi kilichozinduliwa hivi karibuni hakika kinathibitisha umuhimu wa viongozi wa nchi kuwa na tabia ya kuandika vitabu kuhusiana na uzoefu waliopata wakiwa madarakani. Kwa vyovyote vile nafasi…
Bandari ya Bagamoyo itumike kumuenzi JPM
BAGAMOYO Na Mwandishi Wetu Kwa kiasi kikubwa nguzo za uchumi wa Kenya, mbali na utalii, ni kupakana kwa taifa hilo na Bahari ya Hindi na kuifanya Bandari ya Mombasa kuwa lango kuu la biashara kimataifa. Miezi michache iliyopita, Rais Uhuru…