Category: Makala
Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (2)
Ninaomba kukunong’oneza jambo hili: Usithubutu kumuacha Mungu kwa ajili ya chochote, bali acha chochote kwa ajili ya Mungu, kwa sababu katika maisha chochote chaweza kukuacha wakati wowote. Lakini Mungu atakuwa nawe siku zote za maisha yako. Siri kubwa ambayo unatakiwa…
Arobaini ni mwarubaini (2)
Wiki iliyopita tuliishia mahali ambapo tulianza kuwaangalia wale tunaowaita mashujaa wa imani walijipaka majivu. Majivu ni salio la moto, makazi yake ni jalalani. Ila yakisugua sufuria yenye masizi huifanya itakate! Japo tu dhaifu, tuna thamani zaidi ya sufuria. Majivu ya…
Askofu Gwajima si wa kuachwa
Amani iliyopo Tanzania ni tunu ya taifa. Haikuibuka tu kama uyoga pori. Ni matokeo ya kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na waasisi wa taifa hili. Wapo wanaodhani kuwa Watanzania ni tofauti na wanadamu wengi katika Afrika. Ni kweli tuko…
Tume Huru ya Uchaguzi nchini (1)
“Uchaguzi Mkuu ujao utakuwa huru na wa haki.” Ni maneno thabiti na kuntu yaliyotamkwa na Rais Dk. John Magufuli akiutangazia ulimwengu na wananchi. Kauli hii inatia mihemko na imani katika mioyo na vichwa vya Watanzania, pia wale wote wapenda haki…
Yah: Ipo siku ambayo tutaiona dunia kuwa jehanamu
Si kwamba ninapingana na vitabu vitakatifu, la hasha! Lakini nina uhakika mimi na wewe wote hatuna ushahidi wa kile ambacho kinatendeka huko mbinguni ambako hata mimi nina ahadi nako kwa kuishi maisha yenye raha sana iwapo nitatekeleza zile amri kumi…
Mafanikio katika akili yangu (21)
Katika toleo liliopita tuliishia katika aya isemayo: “Lakini mume wangu nina safari ya kwenda Afrika,’’ alisema mama yake Meninda. “Afrika unakwenda kufanya nini mke wangu?’’ aliuliza profesa kutaka kujua. “Ni safari ya kikazi nchini Tanzania,” alisema. Sasa endelea… Profesa akaona…