JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mola tuepushie maambukizi ya corona

Dunia imeshughulishwa na imeingiwa hofu kubwa juu ya tishio la maambukizi na kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa corona ambao wataalamu wa afya wameupa jina la (Covid-19), ambao umeiathiri sana nchi ya China kwa watu kupoteza maisha na kuwa na…

Ulawiti, ubakaji vyashika kasi Misungwi

Vitendo vya ulawiti kwa watoto wadogo, ubakaji na mimba katika umri mdogo vimeongezeka sana katika Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, JAMHURI limethibitishiwa. Takriban matukio 35 ya visa hivyo yameripotiwa kutokea ndani ya siku 60, kuanzia Januari Mosi hadi Februari 25,…

Nyaraka muhimu unapobadili jina katika hati miliki

Nyaraka za uhamisho Nayaraka za uhamisho zinajumuisha fomu namba 29 ijulikanayo kama fomu ya kusudio la uhamisho ambayo hueleza nia na lengo la muuzaji kutaka kubadili jina au kuondoa jina lake katika hati. Hii utaandaa nakala tatu. Pili, ni fomu…

Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (1)

Nakukumbusha: Kama umemsahau Mungu; basi umejisahau wewe mwenyewe.  Sizijui funguo zote za mafanikio, lakini ninaufahamu ufunguo mmoja wa kushindwa. Ufunguo huo ni: ‘Kuishi bila Mungu’. Kuishi bila Mungu ni kupotea njia. Ni  kupoteza ufunguo wa mafanikio katika maisha. Unapomtafuta Mungu…

Arobaini ni mwarubaini (1)

Wakatoliki pote duniani wameanza kipindi cha kufunga siku arobaini. Kipindi hiki kinaitwa Kwaresima na kinafunguliwa rasmi kwa kupakwa majivu kwenye paji la uso. Ni kipindi cha kufanya toba, kufunga, kusali na kutenda matendo ya huruma. Siku arobaini zinaunganishwa na siku…

Waziri Mkuu ruhusuni biashara ya vipepeo Muheza

Miaka mitatu iliyopita katika safu hii niliandika jambo linaloweza kuonekana dogo lakini lenye athari kubwa kwa mazingira na wanadamu. Linahusu wananchi katika Hifadhi ya Asili ya Amani kuzuiwa kusafirisha vipepeo nje ya nchi. Hii si haki. Safu hii ya Mashariki…