JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Uamuzi wa Busara (12)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi watu wanavyolinganisha hali ya kupata uhuru na hali ilivyokuwa kipindi cha mkoloni. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Azimio la Arusha ni jibu la aina ya maswali. Azimio…

Kwaheri Kanali Kabenga Nsa Kaisi‌

Maisha binafsi ya Kanali Kabenga Nsa Kaisi yalijulikana kwa watu wachache sana, lakini maisha yake ya kikazi yalijulikana vizuri sana katika sehemu zote alizowahi kufanya kazi. Wanaomfahamu na waliowahi kukumbana naye kikazi wanamwelezea kwamba alikuwa ni ‘jembe’ la aina yake…

Elimu ya uraia ni muhimu kabla ya uchaguzi (1)

Hivi karibuni Tume ya Uchaguzi imetangaza na kualika taasisi na asasi mbalimbali wanaotaka kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura waombe kufanya hivyo kwa tume. Ni utaratibu mzuri, tena utasaidia sana wananchi kulielewa suala zima la uchaguzi. Kwa jinsi hali…

Sheria ya huduma ndogo za fedha kulinda masilahi ya wanyonge, watoa huduma

Kukosekana kwa sheria ya kusimamia, kuratibu na kuendeleza sekta ndogo ya fedha kwa muda mrefu nchini kumesababisha huduma kutolewa kiholela huku watumiaji na watoa huduma wakiathirika. Kwa mujibu wa Naibu Kamishna wa Idara ya Maendeleo ya Huduma Ndogo za Fedha…

Ndugu Rais, Daniel arap Moi naye amepita

Ndugu Rais, aliyekuwa Rais wa Kenya kwa takriban miaka 24, Rais Daniel arap Moi, naye sasa amepita! Wakati fulani nikiwa Nairobi nikaambiwa kuwa kufikiria tu kuwa Rais Daniel arap Moi anaweza kuugua au kufa, ulikuwa ni uhaini! Lakini sasa naye…

Buriani Alhaj Simba, ulikuwa tumaini, utabakia mfano

Kifo ni maendeleo kwa maana ya mabadiliko yanayomtoa mwanadamu kutoka katika hali moja hadi nyingine.  Moja ya maana ya kifo ni kutengana kwa roho na mwili baada ya kuunganishwa kwa njia ya kupuliziwa roho katika mwili pale mimba inapofikisha arobaini…