Category: Makala
HakiElimu yabainisha kinachosababisha baadhi ya shule kufaulu
Utafiti uliofanywa na HakiElimu nchini umeonyesha kuwa ushiriki hafifu wa wazazi au walezi kuhamasisha watoto kufanya vizuri shuleni na uhusiano mbaya na walimu kuwa ni moja ya vyanzo vikubwa vya watoto wengi kufanya vibaya katika matokeo ya mitihani ya kitaifa….
Uamuzi wa Busara (11)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi Katiba ya TANU inavyoelekeza kuwa raia wote watamiliki utajiri wa asili wa Tanzania kama ahadi na dhamana kwa vizazi vijavyo. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Makabila, kisha…
Virusi vya Corona vyaikamata dunia
Idadi ya maambukizi, vifo yaongezeka kila kukicha Wataalamu watabiri uchumi wa dunia kutetereka Kwa zaidi ya wiki sita sasa dunia imekuwa kwenye mshikemshike kutokana na kuibuka kwa kirusi hatari kijulikanacho kama Corona. Kirusi hicho, ambacho si kipya katika orodha ya…
Ndugu Rais, maumivu ya kichwa huanza polepole
Ndugu Rais, maumivu ya kichwa huanza polepole sana lakini yakiachwa yaendelee hufikia mahali yakawa makubwa sawa na nyundo inayogonga kichwani. Maumivu yetu ya kichwa yalianza polepole sana mara tu Serikali ya Awamu ya Tano ilipoingia madarakani. Tuliruhusu yaendelee na sasa…
Uislamu unahimiza ‘wasatwiyya’ (2)
Makala hii ilianza wiki iliyopita ambapo ilielezwa kuwa kiujumla kuwa neno ‘Wasatwiyya’ linapata maana ya wastani, usawa, ukati na kati na ubora. Uislamu unahimiza ‘Wasatwiyya’ katika kila jambo kwa kuwa hata dini yenyewe ni dini ya ‘Wasatwiyya’; Dini ya Wastani;…
Msitu wa kitalii katikati ya jiji wawainua wananchi kiuchumi
Jiji la Arusha lililopo kaskazini mwa Tanzania limepata umaarufu mkubwa kutokana na kuwepo kwa vivutio vingi vya utalii na kuufanya mji huo kuitwa mji wa kitalii. Vivutio hivyo ni pamoja na uwepo wa Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Hifadhi ya…





