Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Truong Quang Hoai Nam (kushoto) pamoja na Wajumbe kutoka vyama vyote viwili katika kikao kilichofanyika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mahusiano ya Nje ya Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Truong Quang Hoai Nam (kushoto) mara baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.

By Jamhuri