Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 2017 ambapo jumla ya watahiniwa 385,767 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2017 wakiwemo wasichana 198,036 (51.34%) na wavulana 187,731 (48.66%).

 

Kati ya watahiniwa 385,767 waliosajiliwa, watahiniwa wa shule walikuwa 323,332 na watahiniwa wa kujitegemea walikuwa 62,435. Takwimu zinaonesha kuwa idadi ya watahiniwa wa shule waliofaulu vizuri kwa daraja la I – III katika mwaka 2017 ni 95,337 sawa na asilimia 30.15, wakiwemo wasichana 39,441 sawa na asilimia 24.65 na wavulana 55,896 sawa na asilimia 35.80.

 

WANAFUNZI KUMI (10) BORA WALIOFANYA VIZURI KITAIFA

1. Felison J Mde – Marian Boys (Pwani)

2. Elizabeth Mangu – Marian Girls (Pwani)

3. Anna Benjamin Mshana – Marian Girls(Pwani)

4. Emmanuel Lameck Makoye – Ilboru (Arusha)

5. Lukelo Thedeli Luoga – Ilboru (Arusha)

6. Fuud T Thabit – Feza Boys (Dar)

7. Godfrey S Mwakatage – Uwata (Mbeya)

8. Baraka S Muhammed – Eagles (Pwani)

9. Lilian Moses Kataboro – Marian Girls(Pwani)

10. Eveline Edward Mlowe – ST. Francis Girls (Mbeya)

 

WASICHANA KUMI (10) BORA  KITAIFA

1. Elizabeth Mangu – Marian Girls (Pwani)

2. Anna Benjamin Mshana -Marian Girls (Pwani)

3. Lilian Moses Kataboro – Marian Girls (Pwani)

4. Eveline Edward Mlowe – ST. Francis Girls (Mbeya)

5. Rosemary Geofrey Ritte – ST. Francis Girls (Mbeya)

6. Priscilla Hermenegild Kiyagi -ST. Francis Girls (Mbeya)

7. Comfot Aloyce Mkangaa – ST. Francis Girls (Mbeya)

8. Reginelly Gaudance Moshi – Kifungilo Girls (Tanga)

9. Maria Hewa Gambaloya – Marian Girls (Pwani)

10. Dorice Humphrey Shadrack – ST. Francis Girls (Mbeya)

By Jamhuri