JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: wanafunzi waliofanya vizuri kitado cha nne

Hawa Hapa Wanafunzi 10 Bora Na Wasichana 10 Bora Kitaifa, Kidato Cha Nne 2017

Baraza la Mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 2017 ambapo jumla ya watahiniwa 385,767 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Nne 2017 wakiwemo wasichana 198,036 (51.34%) na wavulana 187,731 (48.66%).   Kati ya watahiniwa 385,767 waliosajiliwa,…