Maelfu ya wananchi wa Karatu mkoani Arusha wamempokea kwa kishindo cha nguvu Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 leo tarehe 3 Oktoba 2025 katika viwanja vya mnadani.
Wananchi hao wameonesha wazi shauku yao ya kutiki kwa SAMIA ifikapo Oktoba 29.





