Maelfu ya wananchi wa Karatu mkoani Arusha wamempokea kwa kishindo cha nguvu Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚ ๐—›๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ฎ๐—ป leo tarehe 3 Oktoba 2025 katika viwanja vya mnadani.

Wananchi hao wameonesha wazi shauku yao ya kutiki kwa SAMIA ifikapo Oktoba 29.