Majaliwa azungumza katika hafla ya Taasisi ya JIBA Dar
JamhuriComments Off on Majaliwa azungumza katika hafla ya Taasisi ya JIBA Dar
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Taasisi ya Usaidizi na Uhusiano wa Kibiashara (JIBA) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Baadhi ya waalikwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Taasisi ya Usaidizi na Uhusiano wa Kibiashara (JIBA) kweye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Machi 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)