Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba, Zanzibar ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari
Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo tarehe 21 Aprili 2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.

By Jamhuri