MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Inaya Zanzibar Limited Cheherazade Cheikh akitoa maelezo ya bidhaa za kampuni yake katika Maonesho ya Tamasha la Nne la Biashara Zanzibar linalofanyika katika viwanja vya mpira maisara.(Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea maonesho Tamasha la nne la Biashara katika viwanja vya mpira vya maisara Zanzibar akimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha ZAIDAT cha Chukwani Tatu Suleiman, wakati akitembelea maonesho hayo.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha ZANAP Nassor Hamad Omar, akitowa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na kikundi chao wakati wa maoenesho ya Biashara katika viwanja vyaa maisara Zanzibar.
 WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amani Salum Ali akizungumza wakati wa Kongamano la Afya na Maisha Bora, wakati wa Tamasha la Nne la Maenesho ya Biashara katika viwanja vya maisara Zanzibar.
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika viwanja vya Maisara Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Afya na Maisha Bora kwa Washiriki wa Tamasha la Nne la Maonesho ya Biashara katika viwanja vya Maisara Zanzibar.lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanja na Masoko Zanzibar.
 BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Afya na Maisha Bora lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko kwa Wajasiriamali katika viwanja vya maisara Zanzibar wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwaamwema Shein, akifungua Kongamano hilo la Siku moja.(Picha na Ikulu) 
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Waziri wa  Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya maisara Zanzibar kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la Afya na Maisha Bora. lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko.
Please follow and like us:
Pin Share