Mbowe akemea lugha chafu kipindi cha kuelekea uchaguzi wa CHADEMA
JamhuriComments Off on Mbowe akemea lugha chafu kipindi cha kuelekea uchaguzi wa CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekemea vikali vitendo vya kutukanana, kubezana na kudhalilishana vinavyofanywa na baadhi ya wanachama wa Chadema katika kipindi hiki cha uchaguzi.