Mfanyabiashara ‘mwizi’ Moshi apelekwa Kenya

Na Charles Ndagulla, Moshi

MFANYABIASHARA maarufu mkoani Kilimanjaro, Bosco Beda Kya
kuwa kinara wa mtandao wa wizi wa magari katika nchi za Kenya n
amepandishwa kizimbani.
Kyara na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya H
wakikabiliwa na mashtaka mawili, likiwamo la unyang’anyi wa kutum
kisheria halina dhamana.
Mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya, Devota Msofe, wamesomew
Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi wa Polisi, Hawa Hamis. Washtakiw
yao.
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka, wote kwa pamoja wanadaiwa kuw
isiyojulikana mwaka 2018 wakiwa jijini Nairobi, nchini Kenya, kwa p
ya Nissan Patrol V8 lenye namba za usajili KCP 184R, mali ya Kam
Ltd. Washtakiwa hao wanadaiwa kuwa kabla na baada ya kuiba gari hilo
bastola mtu mmoja aitwaye Luke Indechi Abboo, kosa ambalo pia w
Katika mashtaka hayo, kosa la pili, washtakiwa wanadaiwa kuwa A
1:30 usiku katika eneo la Kwa Msomali walikamtwa wakimilika mali
wizi, ambayo ni gari aina ya Nissan Patrol lenya namba za usajili KC
ya Sh milioni 200 mali ya NISK CAPITAL Ltd.
Mbali na kosa la kwanza kutokuwa na dhamana, mahakama imeele
za kisheria zinazofanywa washtakiwa hao wasafirishwe kwenda nc
na mashtaka yao kutokana na tukio hilo kutendeka nchini humo.
Kutokana na hilo, shauri hilo limeahirishwa hadi Septemba 18, mwa
mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa na washtakiwa wataendelea
katika Gereza Kuu la Mkoa wa Kilimanjaro, Karanga.
Bocso anayeishi eneo la Makuyuni, Wilaya ya Moshi Vijijini, alikama
huu saa 1:30 jioni katika kizuizi cha polisi eneo la Kwa Msomali kat
Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro huku gari hilo likiwa tayari limepa
za Tanzania.
Taarifa ya polisi mkoani Kilimanjaro iliyotolewa na Kamanda wa Mk

imemtaja mwingine aliyekamatwa na mfanyabiasahara huyo kuwa
Mombuli (28), ambaye ni dereva na mkazi wa Majengo – Shauri Mo
Watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa ushirikiano na wenza
Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) wakiwa na gari aina ya Nissa
namba bandia za usajili ambazo ni T 184 DEQ.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Kamanda Issah anasem
Kenya asubuhi ya Agosti 19, mwaka huu na kuingizwa nchini jioni k
lilikamatwa likiwa njiani kuelekea mkoani Arusha.
Kamanda Issah anasema baada ya upekuzi uliofanywa ndani ya ga
ya kampuni ya bima ya nchini Kenya ikiwa na namba halisi za usaji
KCP 184R.
Kukamatwa kwa watuhumiwa hao kumewashtua polisi ambao wam
kuusambaratisha mtandao huo wa wizi wa magari ambapo katika s
hayo yalikuwa yamepungua.

‘Polisi’ mwizi wa magari apelekwa Kenya

Katika hatua nyingine, aliyekuwa Ofisa wa Polisi mkoani Kilimanjaro
kuwa mtuhumiwa muhimu wa mtandao wa wizi wa magari wa kima
Kenya, Uganda na Tanzania, amesafirishwa kwenda nchini Kenya
ya wizi wa magari.
Mtuhumiwa huyo, Konstebo wa zamani wa Polisi (PC) aliyetambulik
Mud, alitoweka kazini mwaka 2015 siku chache baada ya polisi kuiz
akiishi eneo la Rau mjini hapa na kufanikiwa kukamata gari la wizi a
lililobandikwa namba bandia za usajili T 481 AGS.
Kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kulihitimisha tambo na vitisho ali
baadhi ya waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia tuhuma dhidi
kwa gari hilo nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro (ACP), Hamisi Issah, amelia
mtuhumiwa huyo tayari amesafrishwa kwenda nchini Kenya ambak
yamefunguliwa.
Kabla ya kusafirishwa kwenda nchini Kenya, mtuhumiwa alikamatw
eneo la Msaranga, Manispaa ya Moshi, akiwa na gari linaloaminika
aina ya Toyota Probox.
Alisema alikamatwa kwenye mashamba ya mahindi baada ya kuba
na gari hilo kufungwa kifaa maalumu cha kuzuia uhalifu (car track)
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi kabla ya kupelekwa
kushtakiwa zamu hii.

MWISHO.