Mgombea nafasi ya urais CCM arejesha fomu INEC kugombea nafasi hiyo
JamhuriComments Off on Mgombea nafasi ya urais CCM arejesha fomu INEC kugombea nafasi hiyo
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha Fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma