JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Jingu : Tumieni kalamu na nafasi zenu kueleza mafanikio programu ya kizazi chenye usawa

Na Tina Makoye – WMJJWM, Dodoma Wakuu wa Vitengo vya Habari na Mawasiliano Serikalini wa Wizara na Taasisi za Serikali wameaswa kutumia nafasi zao kueleza jamii na dunia kwa ujumla kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa programu ya kizazi chenye…

THRDC NA MAIPAC yawanoa waandishi wa habari za mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha.l Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu Tanzania(THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya wanahabari ya kusaidia jamii za asili(MAIPAC),imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na Kati, kuandika vyema Habari za uchunguzi za mazingira. Uzinduzi wa…

Dk Msemo : Saratani ugonjwa unaosumbua dunia

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali kudhibiti ugonjwa wa Saratani lakini bado ugonjwa umeendelea kuongezeka siku siku ambapo takwimu za Mwaka 2022 zaidi ya watu milioni 20 Duniani wamegundulika wana Saratani huku Milioni 9…

TMA yatoa tahadhari ya mvua za masika

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutokea kwa mafuriko na vipindi vya upungufu wa unyevu katika mikoa mbalimbali nchini kufuatia mwelekeo wa mvua za masika zinazotarajiwa kunyesha…

Masoko ya madini Katoro na Geita yachochea uchumi, yafungua fursa za ajira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita‎ ‎Masoko ya Madini Katoro na Geita pamoja na vituo vya ununuzi wa madini vinaendelea kuwa chachu ya ukuaji wa uchumi wa wananchi wa Mkoa wa Geita, baada ya kuongeza fursa za ajira, biashara na mzunguko…

TAMISA yawahamasisha vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji katika sekta ya madini

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa mbalimbali zinazopatikana katika kufanya biashara ya manunuzi na kutua huduma mbalimbali migodini yenye thamani ya takriban…