Latest Posts
Tanzania, Marekani zasaini hati ya makubaliano za dola bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya (MoU) ya miaka mitano itakayotekelezwa kuanzia mwaka 2026 hadi 2030, ikiwa na thamani ya zaidi ya…
Mfumo wa uagizaji mafuta wa pamoja waimarisha upatikanaji, udhibiti wa bei na mapato ya taifa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency – PBPA) umesema mfumo wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja umeendelea kuimarisha upatikanaji wa mafuta nchini, kudhibiti mfumuko wa bei, kuhakikisha ubora…
Serikali yapeleka vicheko barabara ya Makambako- Songea
Serikali imeanza ujenzi mpya wa barabara inayounganisha mikoa ya Njombe na Ruvuma baada ile ya awali kuanza kuchoka kutokana na kutumika kwa zaidi ya miaka 40. Akizungumza katika uzinduzi wa ujenzi wa barabara hiyo, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, alisema…
Watanzania kunufaika na umeme wa uhakika, TANESCO yavunja rekodi, wateja laki nane waunganishwa
📌 utaimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi, viwanda na shughuli za kiuchumi 📌 Wananchi wanatarajiwa kunufaika na huduma ya umeme yenye uhakika zaidi baada ya kukamilika kwa mradi 📌 TANESCO yavunja rekodi kwa kuunganisha zaidi ya wateja laki nane mwaka…
Bangu awataka waendesha ghala kuimarisha uadilifu na uwajibikaji
Mkurugenzi wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu, amewataka waendesha maghala kuzingatia uadilifu, uwajibikaji na utoaji wa huduma bora ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa Mfumo wa Stakabadhi za Ghala. Akifungua kikao maalumu cha waendesha…
Maonesho Sabasaba yaonesha mafanikio – Kapinga
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb) , amesema Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yameonyesha mafanikio makubwa ya sekta ya viwanda na biashara pamoja na fursa zinazotolewa na Serikali kwa vijana…





