JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi Urambo

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Mfanyabiashara maafuru Wilayani Urambo Mkoani Tabora Ramadhani Ntunzwe (53) amejiua kwa  kujipiga risasi kichwani akiwa nyumbani kwake . Kamanda wa Polisi Mkoani hapa SACP Richard Abwao amethibitisha kutokea tukio hilo Machi 6 mwaka huu majira ya…

Dk Mpango afungua mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa washiriki wa Mkutano wa 21 wa Taasisi za Fedha kutafakari kwa kina changamoto ya uhaba wa fedha za kigeni na hatua gani za muda…

DC Katavi atoa siku saba kwa aliyehamisha mto kuurejesha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf ametoa siku saba kwa mwekezaji wa machimbo ya madini aina ya dhahabu , Anseimo Mjinga, aliyehamisha mto uliopo Kijiji cha Mtisi Kata ya Sitalike kusimamisha…

Wanawake MSD walipa gharama za upasuaji kwa watoto wenye vichwa vikubwa Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Naibu Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi amewashukuru watumishi wanawake wa Bohari ya Dawa (MSD) kwa msaada wa kulipia sehemu ya gharama za matibabu kwa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo…

Ntibazonkiza aitwa Timu ya Taifa ya Burundi

Na Isri Mohamed Mchezaji wa Kimataifa anayekipiga katika klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza ni miongoni mwa wachezaji 27 walioitwa kwenye timu ya taifa ya Burundi inayonolewa na kocha Etienne Ndayiragije. Kikosi hicho ni kwa ajili ya kujiandaa na michezo…

Wanawake Namtumbo wapigwa jeki milioni 287

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Namtumbo  Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (WEF)  umetoa  mkopo zaidi ya shilingi milioni 287  tangu mwaka 2015 hadi 2024 Kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na , Mkuu wa Wilaya…