JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

ACT Wazalendo walia ukatili kwa mtoto wa kike

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa Serikali na vyombo vyake vya dola kupunguza muda wa uendeshaji wa kesi za ukatili dhidi ya watoto na wanawake. Chama hicho kimependekeza muda wa uendeshwaji wa…

Wilaya za Songwe kuunganishwa kwa lami

*Mhandisi Kasekenya aeleza mikakati kukabiliana na athari za mvua kubwa Vwawa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Songwe, moja ya mikoa ya kimkakati nchini, imedhamiria kuziunganisha wilaya zake nne kwa mtandao wa barabara za lami. Mkoa huo unaoiunganisha Tanzania na nchi…

Mloganzila yaanzisha huduma ya kurekebisha muonekano wa mwili

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na upasuaji rekebishi (Bariatric and Reconstructive surgery) kuanzia tarehe 27.10.2023. Mkuu wa Idara ya Upasuaji Dkt. Eric Muhumba amesema upasuaji huo…

UN : Biashara na matumizi dawa za kulevya ni uhalifu dhidi ya utu na heshima ya binadamu

*Guterres asema nchi nyingi zenye kipato cha chini zina mifumo dhaifu TANGU mwaka 1989, Jumuiya ya Kimataifa imekuwa ikiadhimisha Siku ya Kupambana na Biashara na Matumizi Haramu ya Dawa za Kulevya Duniani kila Juni 26. Ofisi ya Umoja wa Mataifa…

Tanzania yafanikiwa kudhibiti ukeketaji mipakani

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza katika mdahalo ulioshirikisha Mawaziri wa Jinsia kutoka nchi za wanachama wa umoja wa Afrika wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa kutokomeza Ukeketaji Oktoba 10, 2023…

Wizara ya Afya yasaini makubaliano ya ushirikiano na taasisi za afya nchini India

New Delhi, India Wizara ya Afya Tanzania na Taasisi za Afya nchini India zimeingia makubaliano ya ushirikiano ya kuboresha huduma za afya na uzalishaji wa bidhaa za afya nchini Tanzania. Shughuli ya kusaini hati za makubaliano hayo imeshuhudiwa na Rais…