JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Mabula ataka wamiliki wa ardhi kulipa kodi kwa wakati

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi nchini kuhakikisha wanalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuepuka kutozwa riba ya malimbikizo ya kodi hiyo. Dkt Mabula alisema hayo wilayani Ngara…

Al Hilal wamuwinda Mbappe kwa dau la Pauni Milioni 259

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia imeweka ofa ya kuvunja rekodi ya pauni milioni 259 kumnunua mshambuliaji wa Paris St-Germain Kylian Mbappe. Nahodha huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 24, ambaye amebakiza mwaka…

Mchungaji aliyeongoza mazishi ya binti aliyeuawa, ashtakiwa kwa mauji yake

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Mchungaji mstaafu wa kanisa la Marekani ambaye aliongoza mazishi ya msichana wa miaka minane aliyetekwa nyara takriban nusu karne iliyopita nyara ameshtakiwa kwa mauaji yake. Gretchen Harrington alitoweka katika kitongoji cha Philadelphia cha mji wa…

Gobore 150 zakamatwa Msomera

Za8di ya silaha za kijadi aina ya gobore 150 zinazomilikiwa kinyume na sheria zimekamatwa katika ijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga . Hayo yamesemwa na MKuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando wakati akisoma taarifa ya maendeleo ya kijiji…

Balozi awatoa hofu Watanzania treni SGR

Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Togolani Mavura amewatoa hofu wananchi juu ya maendeleo ya utengenezaji seti 10 za treni za kisasa na vichwa 17 vya treni vya umeme vitakavyotumika katika reli ya kisasa SGR nchini. Balozi Mavura ameyasema hayo…