Latest Posts
Ujenzi barabara ya lami Likuyufusi- Msumbizi waiva
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Serikali inatarajia kuanza mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nzito ya mpakani mwa Tanzania na Msumbiji yenye urefu wa kilometa 124 kutoka Likuyufusi hadi Mkenda wilayani Songea mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa…
Uchunguzi ufanyike kuzuka kwa moto bonde la Mzakwe
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Dodoma kuhakikisha vinawasaka na kuwabaini wote waliohusika na uchomaji moto katika bonde la mzakwe hii. Senyamule ametoa agizo hilo jana mara baada ya kufika katika eneo…
Rungwe yamshukuru Rais Samia kufanikisha mapambano ya vifo vitokanavyo na uzazi
Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imemshukuru Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kufanikisha mapambano ya vifo vitokanavyo na uzazi pingamizi, ambapo katika hospitali ya wilaya wanawake zaidi ya 350 wanajifungua kwa mwezi wakiwa salama na watoto. Uongozi wa wilaya hiyo…
Dk Mpango awashauri vijana kuacha kuuza viungo vya mwili
Vijana wametakiwa kuacha tabia ya kuuza viungo vyao vya mwili ikiwemo figo ili kuepukana na madhara ya kiafya. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa wito huo akiwa ziarani mkoani Ruvuma mara baada ya kuzindua jengo la kutolea huduma ya…
Klabu ya Simba yakamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Luis Jose Miquissone kwa mkataba wa miaka mitatu. Winga huyo raia wa Msumbiji, aliwahi kuitumikia Simba kabla ya kuuzwa Al Ahly ambayo nayo ilimtoa kwa mkopo kabla ya kutangazwa tena kurejea…
Yanga Princess yaitandika Geita Gold
Yanga Princess imeitandika Geita Gold mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi linaloendelea Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Baada ya mchezo kukamilika, burudani ya muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali inaendelea huku mashabiki wakiendelea kumiminika uwanjani uwanjani hapo….