Latest Posts
Kasekenya : Hakuna mradi wa ujenzi utakaosimama
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Katavi, Mhandisi Martin Mwakabende, akitoa taarifa ya mradi kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, alipokagua Barabara ya Kibaoni-Sitalike ( Km 74) inayojengwa kwa kiwango cha lami, kipande cha kwanza cha…
Mume atuhumiwa kumuua mkewe kwa kumkata kata vipande kisha kuvitupa mtoni Njombe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Jeshi la Polisi mkoani Njombe, linamshikilia Juma Kyando (36), mkazi wa Dombwela, wilayani Makete mkoani Njombe kwa tuhuma za kumkata kata vipande mkewe kisha kwenda kuvitupa mtoni. Akizungumzia tukio hilo kwa niaba ya Kamanda wa…
Chalamila atoa onyo kwa wakuu wa shule kuchangisha michango holela
Asema wanaofanya hivyo waache maramoja kwani Serikali imeshashugulikia suala hilo Ahimiza matumizi ya sayansi na teknolojia katika kuwafundisha watoto Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Januari 8, 2024 ametoa onyo kwa…
Dk Biteko ataka umoja wa vijana CCM kushikamana kuleta maendeleo
📌Awaasa kuisemea vyema Serikali 📌Awasisitiza kuwa chachu ya vijana wengine kujiunga na CCM Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 8 Januari, 2024 amefungua Kongamano la Umoja wa Vijana…
Makamu wa Pili wa Rais amewataka wananchi kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi Matukufu Z’Bar
Makamu wa Pili wa Rais Hemed Suleiman Abdullah amewataka wananchi kuendelea kuyalinda na kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa Kuunga Mkono jitihada za Serikali katika kuleta Maendeleo Nchini. Hemed ameyasema hayo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi Skuli…