JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Askari wa TAWA wamuokoa mtoto wa tembo aliyetumbukia shimoni

Na Beatus Maganja -TAWA Askari wahifadhi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), jana walifanikiwa kumuokoa mtoto wa tembo anayekadiriwa kuwa na umri wa wiki nne (4) aliyezama katika shimo lenye matope katika Kijiji cha Kwamsanja kilichopo kata ya…

Mfahamu mzee aliyemficha Baba wa Taifa 1955 wakati wa kudai uhuru

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Namtumbo TAMASHA kubwa la kutangaza fursa mbalimbali zilizopo wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma linatarajia kufanyika kwa siku mbili kuanzia Septemba 22 hadi 23 mwaka huu ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe. Mkuu…

Watoto zaidi ya laki 4 kupata chanjo ya Polio Songwe

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa zaidi ya watoto laki Nne wanatarajia kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio katika Mkoa wa Songwe. Waziri Ummy ameyasema hayo Septemba 11, 2023 wakati akianza ziara yake ya kukagua huduma zinazotolewa katika…

Vijana wahimizwa kutokubali kutumika kuvunja amani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Vijana nchini wamehimizwa kuepuka kutumika na baadhi ya watu wasio na nia njema ili kuvunja Amani ya Nchi hatua itakayosababisha maendeleo ya Taifa kuzorota. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera,…