Latest Posts
Waziri Mkuu awahamasisha wananchi kushiriki katika michezo
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini washiriki katika michezo kwa kuwa michezo ni ajira, uchumi na huimarisha afya. “Tunapa faida nyingi kwa kufanya michezo, tushiriki katika michezo pamoja na kukimbia riadha kwa kuongeza vipaji tulivyonavyo kwani…
‘Ukraine imebakiza siku 30 tu za kupambana na Urusi’
Ukraine imesalia na siku zisizozidi 30 za mapigano dhidi ya Urusi kabla ya hali ya hewa kuzuia mashambulizi yake, afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la Marekani anasema. Akiongea na BBC Jumapili kupitia kipindi cha Laura Kuenssberg, Jenerali Mark…
Idadi ya waliokufa kwa tetemeko Morocco yafikia 2,000
MOROCCO inaomboleza vifo vya zaidi ya watu 2,000 vilivyosababishwa na tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Ijumaa usiku, wakati timu za uokoaji zikifanya juhudi kuwatafuta watu waliokwama kwenye vifusi. Wanajeshi na wafanyakazi wa kutoa misaada wameonekana wakipeleka maji na mahitaji mengine…
Waziri Silaa: Tujenge nidhamu ya Wizara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewataka watumishi wa Wizara yake kuhakikisha wanawahudumia vizuri wananchi ili wajenge imani na serikali. ‘’Lazima tutengeneze ‘despline’ ya wizara kwa kuwahudumia vizuri wananchi, tukumbuke hapa…
Thailand yafungua milango Watanzania kujifunza uongezaji thamani madini
Kampuni Kubwa Yenye Uzoefu wa miaka 50 yaonesha nia kuwekeza nchini Mbibo aielezea kuwa ni safari yenye mnufaa makubwa kwa Tanzania TIC Wakaribishwa kuanzisha tawi kuchochea shughuli za uongezaji thamani madini Bangkok- Thailand Watanzania wamekaribishwa kujifunza namna ya kuongeza Thamani…